AINA ZA MIKOPO
- Mikopo kupitia maendeleo bank
- Mikopo kupitia Nk cng auto ltd
MIKOPO KUPITIA MAENDELEO BANK
VIGEZO NA MASHARTI
- Kadi ya gari original ikiwa na majina kamili ya mkopaji.
- Nida ya mkopaji na isome sawa saw ana kadi ya gari ya mkopaji.
- Utambulisho wa makazi kuitia serikali za mtaa.
- Gari lenye usajili B, C, D, E etc.
MUDA WA MKOPO
miezi mi3 hadi 18
MIKOPO KUPITIA NK CNG AUTO LTD
VIGEZO NA MASHARTI
- Kadi ya gari original ikiwa na majina kamili ya mkopaji.
- Nida ya mkopaji na isome sawa saw ana kadi ya gari ya mkopaji.
- Utambulisho wa makazi kuitia serikali za mtaa.
- Gari lenye usajili B, C, D, E etc.
- Wadhamini wawili mmoja lazima awe muajiriwa;hapa anweza kupakia nyaraka zao
za utambulisho wa kazi na makazi na nida au leseni au mpiga kura
MUDA WA MKOPO
miezi mi2 hadi mi4
VYOMBO VYA MOTO VINAVYOKOPESHWA
BAJAJI :
1,600,000/= kianzio ni 200,000/= marejesho ya wiki ni 80,000/=
MAGARI:
Kianzio ni laki 4
Magari madogo 1,900,000/=
Ist,rumion,spacio,raum etc
Yenye cc kati ya 690-1990
Magari ya kati
Kianzio ni milioni moja mpaka laki 8
Cc 1990 – 2500
2.2M
2.4M
2.6M